Redemption by Roma Mkatoliki

Check out the new track “Mkombozi” (Redemption), by Tanzanian hip hop artist Roma Mkatoliki.

The video is on Roma’s YouTube Channel: ViVaRoma

Roma says: There are times in life you go through a hard time! Trouble, distress, challenges, responsibilities and stresses that lead you to feel lost. Some people make bad decisions, that can negatively impact their lives. That is because they miss the answer to their problems. Believe me, if you’re going through a difficult time, there is a savior who can help. Call on them, and they will answer you & see you through the difficult time.

Our interview with Roma, who has known for his socially conscious music, in an upcoming episode of The Hip Hop African Podcast. We sat with Roma during the artists visit to the U.S. He will also be speaking at Howard University on the 29th of January. Follow us on Twitter to stay up to date with all things Hip Hop African!

In Swahili

Kuna Nyakati Kwenye Maisha Unapitia Kipindi Kigumu Sana! Shida, Dhiki, Mateso, Changamoto, Majukumu Na Mihangaiko Ambayo Inakupelekea Kuwa Na Msongo Wa Mawazo Na Kuhisi Umepoteza Thamani Ya Kuishi Na Kukata Tamaa Kabisa Ya Kuendelea Kupambana!! Wapo Wengine Hali Hii Ikiwakuta Hubadili Kabisa Imani Yao Wakiamini Watafanikiwa Kwa Kufanya Hivo!! Wengine Hutamani Kufanya Maamuzi Magumu Ambayo Yanaweza Athiri Maisha Yao, Yote Hii Ni Kwasababu Wamekosa Suluhisho La Mapito Yao!!

Amini Nawaambieni Ukiona Unapitia Kipindi Kigumu Kama Hicho Yupo MKOMBOZI Anayeweza Kukutoa Katika Mashaka Hayo!! Muite Sasa Atakuitikia Na Atakufuta Machozi Na Kukuponya Na Kukuvusha Kwenye Tabu Hizo!!

Roma Mkatoliki Amekuletea MKOMBOZI Anayeweza Kukukomboa Katika Hali Hiyo Uliyokuwa Nayo!!

Ungana Naye Katika Kusikiliza Wimbo Huu Wa MKOMBOZI Na Hakika Atakuponya Na Utauanza Mwaka Wako Huu Mpya Kwa Neema Na Amani Na Mafanikio Makubwa!!

Leave a Reply

%d bloggers like this: