Africa is the future of hip-hop. It’s 54 African nations. Not only are they spitting like crazy, but they’re also braiding languages. Hip-hop is going to like 3.0 when you talk about Africa. Hip-hop is there. So that’s the sustaining power if you want to pay attention to it. – Chuck D

HHAP Episode 30: Hip Hop Producer Duke on Boombap & Hip Hop Production in Tanzania

Published by

on

This is an interview with Tanzanian hip hop producer Duke, founder of M Lab records, Tamaduni Muzik, and the Hip Hop Kilinge (cypher). The interview is mostly in SWAHILI, but we switch back & forth a lot. The Hip Hop African podcast celebrates the various elements of hip hop, but this is our first interview with a hip hop producer.

Duke talks about how he became involved in hip hop in Tanzania, his involvement with the founding of Tamaduni Muzik and the Hip Hop Kilinge (cyphers) they used to host. These cyphers used to bring hundreds of youth from around Dar es Salaam to listen to the DJs, hear MC rhyme, participate in cyphers, buy hip hop fashion made by local artists. Duke also talks about issue of copyright and the art of sampling and the role of the producer in hip hop. We also discuss sounds, the role of the boom bap sound, as well as chopping up other sounds to create a unique sound that represents Tanzanian hip hop. He also talks about the top five artists outside of Tanzania that he would love to work with, as well the directions he sees hip hop in Tanzania going today.

Haya ni mahojiano na Duke, prodyuza wa muziki wa hip hop Tanzania, mwanzilishi wa M Lab Records, Tamaduni Muzik, na Hip Hop Kilinge (cypher). Mahojiano yako zaidi katika SWAHILI, lakini tumechanganya na English kidogo. The Hip Hop African Podast inawakilisha nguzo mbalimbali za hip hop, lakini haya ni mahojiano yetu ya kwanza na prodyuza wa hip hop.

Duke anazungumzia jinsi alivyohusika katika hip hop nchini Tanzania, kushiriki kwake na kuanzishwa kwa Tamaduni Muzik na Hip Hop Kilinge. Kwenye Kilinge, vijana vyengi kutoka Dar es Salaam walikuja kusikiliza muziki uliochezwa na DJs, kusikia sauti ya MC, kushiriki katika cyphers, kununua bidhaa za mitindo ya hip hop. Duke pia anazungumzia suala la hakimiliki na sanaa ya sampling na jukumu la prodyuza katika hip hop. Tulizungumzia pia sauti ya boom bap, na pia kuchop sauti nyingine ili kutengeneza sauti ya kipekee ambayo inawakilisha hip hop ya Tanzania. Pia anazungumzia kuhusu MCs watano wa nje ya Tanzania ambao angependa kufanya kazi nao. Pia tulizungumzia muelekeo wa Hiphop ya Tanzania katika nyakati hizi.

*Music by Duke Tachez

One response to “HHAP Episode 30: Hip Hop Producer Duke on Boombap & Hip Hop Production in Tanzania”

  1. mysdgreportsdelta Avatar

    Duke anazungumzia jinsi alivyohusika katika hip hop nchini Tanzania, kushiriki kwake na kuanzishwa kwa Tamaduni Muzik na Hip Hop Kilinge.

Leave a Reply

Create a website or blog at WordPress.com

Discover more from The Hip Hop African

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading